Kudumisha uhusiano kati ya
jamii, ufugaji na wanyamapori



Kudumisha uhusiano kati ya
jamii, ufugaji na wanyamapori

Mwongozo wa ushirikishwaji katika kupanga
Matumizi ya ardhi

Pakua toleo kamili la PDF - 1,979 kb

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO)
kwa kushirikiana na
Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF)
Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI),
na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
kwenye mradi uliofadhiliwa na Mfuko wa Dunia wa Mazingira (GEF)
Benki ya Dunia (WB)

Roma, 2009



Mtindo ulitumika na uwasilishaji wa maudhui ya kitini hiki hauwakilishi kwa namna yoyote ile maoni ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kuhusiana na masuala ya kisheria au maendeleo ya nyanja yoyote ile na nchi, himaya, mji au mamlaka yoyote, au kuingilia na mipaka yake. Yanapotajwa majina ya kampuni au bidhaa za viwanda, bila kujali kama bidhaa hizo zina haki miliki au la, haimaanishi kuwa bidhaa hizo zimekubaliwa au zimependekezwa na FAO dhidi ya bidhaa kama hizo ambazo hazikutajwa. Maoni yaliyoelezwa katika kitini hiki ni ya waandishi na si lazima yawe ndiyo maoni rasmi ya FAO.

Haki zote zimehifadhiwa. Kudurufu na kusambaza taarifa zilizomo humu kwa madhumuni ya kuelimisha na si kufanya biashara kunaruhusiwa bila kuwa na ulazima wa kupata ruhusa ya maandishi kutoka kwa mwenye haki miliki, ili mradi chanzo cha taarifa hizo kitajwe wazi. Hairuhusiwi kudurufu kitini hiki kwa madhumuni ya kibiashara bila kupata ruhusa ya maandishi kutoka kwa mwenye haki miliki. Maombi ya ruhusa hiyo yaelekezwe kwa:

Chief, Electronic Publishing Policy and Support Branch
Communication Division
Viale delle Terme di Caracalla, 00153 Rome, Italie
au kwa barua pepe kwa: [email protected]


YALIYOMO


    Utangulizi
    Shukrani

    Sura ya 1
    Mpango wa matumizi ya ardhi: utangulizi kwa watunga sera

    Sura ya 2
    Kujenga picha ya jamii yetu kwa siku zijazo: sababu na jinsi ya kushiriki kupanga matumizi ya ardhi

    Sura ya 3
    Wanyamapori waweza kukuinua: kuanzisha shughuli za biashara zihusianazo na uhifadhi

    Sura ya 4
    Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori (WMAs): manufaa, changamoto na hatua za kuanzisha

    Sura ya 5
    Migororo katika jamii: kusuluhisha migogoro katika maeneo yenye mifugo, kilimo na wanyamapori

    Sura ya 6
    Namna ya kukabiliana na magonjwa ya mifugo karibu na hifadhi za wanyama Afrika Mashariki


© FAO 2009