Thumbnail Image

Mwongozo Wa Hiari Kuhusu Uwajibikaji Katika Usimamizi Wa Umiliki Wa Ardhi, Maeneo Ya Uvuvi Na Misitu Kwa Ajili Ya Upatikanaji Na Uhakika Wa Chakula Kwa Taifa









FAO. 2021. Mwongozo Wa Hiari Kuhusu Uwajibikaji Katika Usimamizi Wa Umiliki Wa Ardhi, Maeneo Ya Uvuvi Na Misitu Kwa Ajili Ya Upatikanaji Na Uhakika Wa Chakula Kwa Taifa. Kenya.



Related items

Showing items related by metadata.

  • Thumbnail Image
    Book (stand-alone)
    Mwongozo wa Hiari wa Kuhakikisha Uvuvi Mdogo Unakuwa Endelevu Kwa Muktadha wa Uhakika wa Chakula na Kuondoa Umaskini 2019
    Mwongozo wa hiari wa kuhakikisha uvuvi mdogo unakuwa endelevu; katika muktadha wa uhakika wa chakula na kuondoa umaskini umeandaliwa kama nyongeza ya Taratibu za Kimaadili za Uvuvi zinazozingatia uwajibikaji, ambazo ziliandaliwa chini ya uratibu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) mwaka 1995 (Code of Conduct for Responsible Fisheries CCFRF) na kukubaliwa nchi nyingi duniani. Aidha, Mwongozo huu wa hiari ni mahsusi kwa ajili ya kuangaza na kuweka taratibu zinazuhusu uvuvi mdogo. Sababu kuu iliyopelekea kuandaa Mwongozo maalumu kwa ajili ya uvuvi mdogo ni kwamba; kwa kiwango kikubwa jamii ya wavuvi wadogo imeendelea kuachwa nyuma, na umaskini katika jamii hizi umekuwa ni wa kiwango kikubwa. Hali hii ya kusikitisha inatokea wakati ambapo uvuvi mdogo huchangia nusu ya samaki wote wanaovuliwa duniani, na huajiri asilimia 90 ya wavuvi na wafanyakazi wengine katika Sekta ya Uvuvi duniani. Hivyo, imeonekana kuna umuhimu mkubwa wa kuandaa Mwongozo huu, ili kuangazia changamoto mbalimbali zinazowakabili wavuvi wadogo, na kubainisha mbinu ambazo zinaweza kutumiwa katika kutatua changamoto hizo. Mwongozo unabainisha masuala yote muhimu katika mfumo mzima wa mnyororo wa thamani ikiwa ni pamoja na usimamizi wa rasilimali ya uvuvi, masuala ya maendeleo ya jamii ya wavuvi wadogo, thamani ya mazao na biashara, pamoja na umuhimu wa kujenga mazingira bora yanayoimarisha shughuli za uvuvi mdogo kwa kuzingatia masuala ya jinsia na Haki za binadamu.
  • Thumbnail Image
    Brochure, flyer, fact-sheet
    Utambuzi wa Sansuli katika Maeneo Wazi ya Samaki wa Bahari ya Hindi 2023
    Kadi hizi za utambulisho hutolewa na Tume ya Tuna ya Bahari ya Hindi (IOTC) kusaidia kuboresha data ya kukamata na takwimu juu ya billfish inayolengwa. Kupitia uelewa bora wa hifadhi za billfish, mameneja wa uvuvi wa kikanda wanaweza kuhakikisha kuwa aina hizi zinavuliwa kwa njia endelevu katika Bahari ya Hindi. Watumiaji wanaowezekana zaidi wa kadi ni waangalizi wa uvuvi, sampuli, na mabwana wa uvuvi. Taasisi za mafunzo ya uvuvi na jumuiya za uvuvi ni watumiaji wengine wenye uwezo.
  • Thumbnail Image
    Book (stand-alone)
    Utambuzi wa spishi za samaki aina ya jodari na wanaofanana nao katika uvuvi wa bahari ya hindi 2023
    Hati hii ni mwongozo wa kitambulisho kwa aina za tuna na tuna zilizokamatwa na uvuvi wa pelagic katika Bahari ya Hindi. Ni mwongozo wa ukubwa mdogo, usio na maji, wa mfukoni unaokusudiwa kutumia vyombo vya onboard ili kuboresha ubora wa data iliyokusanywa katika Eneo la IOTC la Uwezo.

Users also downloaded

Showing related downloaded files

No results found.